چَالٗ 🫧🐍 @nkyalo.neocities.org · 04/09/2026نِمٖئَانْزَ كُهِيسِ كَامَ مَئِيشَ يَاكٗ سَاوَ نَ مَامْبٗ يَتَئِينْدَ ڤْيٖيمَ۔ نِلِپٗؤَامْكَ لٖؤٗ نِلِهِيسِ هُزُونِ كْوَانِ أَكِيلِ يَانْڠُ إِلِنِچٖزٖيشَ مِچٖيزٗ۔ لَكِينِ بَأَادَ يَ كُتِزَامَ نَ كُوٖيزَ كُؤٗونَ وَاتُ وٖنْڠِينٖ نَ شِيدَ كَامَ يَانْڠُ، نِمٖفُرَهِئَ كُجُؤَ سِؤُڠُئِ پٖكٖئٖ يَانْڠُ نَ كُونَ سُلُهِيشٗ كْوَ تَتِيزٗ زَانْڠُ۔ 000 0
چَالٗ 🫧🐍 @nkyalo.neocities.org · 04/09/2026Nimeanza kuhisi kama maisha yako sawa na mambo yataenda vyema. Nilipoamka leo nilihisi huzuni kwani akili yangu ilinichezesha michezo. Lakini baada ya kutizama na kuweza kuona watu wengine na shida kama yangu, nimefurahia kujua siugui pekee yangu na kuna suluhisho kwa tatizo zangu. 000 0
چَالٗ 🫧🐍 @nkyalo.neocities.org · 17/05/2026Sikuacha kuchora. Ni vile michoro yangu ni masomo kwa sasa na si vya kupendeza vile. سِكُؤَاچَ كُچٗورَ۔ نِ ڤِيلٖ مِچٗورٗ يَانْڠُ نِ مَسٗومٗ كْوَ سَاسَ نَ سِ ڤْيَ كُپٖنْدٖيزَ ڤِيلٖ۔ #art #sanaa #سَنَاءَ 031 3
چَالٗ 🫧🐍 @nkyalo.neocities.org · 06/04/2026#سَنَاءَ #sanaa #art #dorohedoro #anime #drawing #fanart 052 5
چَالٗ 🫧🐍 @nkyalo.neocities.org · 29/03/2026#سَنَاءَ #sanaa #art #dorohedoro #anime #drawing #fanart 061 6
چَالٗ 🫧🐍 @nkyalo.neocities.org · 11/03/2026#yzma #theemperor'snewgroove #سَنَاءَ #sanaa #art #drawing 061 6
چَالٗ 🫧🐍 @nkyalo.neocities.org · 10/03/2026#yzma #theemperor'snewgroove #سَنَاءَ #sanaa #art #drawing 051 5
چَالٗ 🫧🐍 @nkyalo.neocities.org · 24/02/2026 وَانْڠُ وَ كْوَانْزَ كَبِيسَ وَ Ranked. Ushindi wa kwanza kabisa wa Ranked. My first ever Ranked win. #fallguys 000 0
چَالٗ 🫧🐍 @nkyalo.neocities.org · 22/01/2026@erykistired.bsky.social #PenelopeIsNotYN #PlotArmorOn It I get to win, I'll buy a good laptop for school and a drawing tablet if I can. Regardless, thanks for making it a worldwide contest. I enjoyed the process. 1161 16
چَالٗ 🫧🐍 @nkyalo.neocities.org · 18/01/2026Alhamisi. Wiki iliyopita. أَلهَمِيسِ۔ وِيكِ إِلِيٗپِيتَ۔ #art #drawing #sanaa #سَنَاءَ 040 4
چَالٗ 🫧🐍 @nkyalo.neocities.org · 30/12/2025Kwa hakika sipendi nilivyochora midomo. كْوَ هَكِيكَ سِپٖينْدِ نِلِڤْيٗچٗورَ مِدٗومٗ۔ #art #drawing #sanaa #سَنَاءَ 041 4
چَالٗ 🫧🐍 @nkyalo.neocities.org · 29/12/2025Kama nilivyoahidi. كَامَ نِلِڤْيٗؤَهِيدِ۔ #art #drawing #sanaa #سَنَاءَ 020 2
چَالٗ 🫧🐍 @nkyalo.neocities.org · 31/10/2025Nitauchapisha mchoro wangu kesho... Jamani, msinicheke... Hili ndilo lilikuwa rejeleo langu. 😶🌫️ 130 3
چَالٗ 🫧🐍 @nkyalo.neocities.org · 24/10/2025Nimeamua nitamaliza kutizama video zote badala ya "ku-doomscroll". 010 1
چَالٗ 🫧🐍 @nkyalo.neocities.org · 12/10/2025Je, unaweza tambulisha niliporudia mara kwa mara? 😭 Nilikuwa nisalimishe kuchora jicho hilo la pili. Lakini niliweza kulichora mwishowe. #فن #art #sanaa #pencil #drawing #xmen 081 8
چَالٗ 🫧🐍 @nkyalo.neocities.org · 11/10/2025Sijui nilikuwa ninafanya nini hapa. #siku1 #art #painting #mspaint #sanaa #فن 060 6
چَالٗ 🫧🐍 @nkyalo.neocities.org · 04/10/2025Nilijaribu yangu yote... #art #blackcat #marvel #فن #sanaa #pencil #drawing 082 8
چَالٗ 🫧🐍 @nkyalo.neocities.org · 01/10/2025Niliuchora mchoro huu juzi. Na singeweza kuuchapisha mpaka sasa. Na nimegundua ya kwamba nikiweka *filters*, mchoro wangu unaonekana vyema zaidi. Ni kama nilitumia hizo kalamu nzuri kuuchora. #art #sanaa #فان #deadpool. 031 3
چَالٗ 🫧🐍 @nkyalo.neocities.org · 22/09/2025Mchoro wa kulia ndio wa leo. Nimeona nina shida kubwa ya kuchora miguu vyema. Ya leo imetokea vibaya kuliko ya jana. 😑 020 2