Fidia ya kitu kimoja kimoja haitoshi. Familia ilipoteza ardhi, njia za kwenda shambani, malisho ya mifugo, vyanzo vya maji na mtandao wa majirani. Hasara hizi zisizoonekana kwenye fomu ndizo zinazoamua kama kaya itasimama tena au itazama katika umaskini zaidi. #EACOPniTISHIO